BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani na Iran zashambuliana baada ya wanajeshi wawili wa Marekani kuuawa Jordan
Marekani na Iran zimeendelea kushambuliana kwa siku ya nane mfululizo baada ya wanajeshi wawili wa Marekani kuuawa Jordan
Freemason: Maswali yako yajibiwa
Nadharia za njama na utata zimekuwa zikiligubika kundi la Freemason tangu kuanzishwa kwake, hali iliyochochewa na sifa yao ya kufanya mambo kwa siri;
Alivaa viatu vya kuazima, hakupewa kiatu cha dhahabu: Mfungaji wa magoli mengi zaidi katika Kombe moja la Dunia
Hakupata kiatu cha dhahabu (Golden Boot) kwa kuwa mfungaji bora wa mashindano ya 1958 - badala yake alipewa bunduki na gazeti la Uswidi kwa kuwa ni "mlega shahaba mzuri".
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Tottenham wana imani ya kumsajili winga wa Man City Savinho
Tottenham wana matumaini ya kumsajili Savinho kutoka Manchester City, Real Madrid wamepunguza shauku yao kwa Rodri, huku AC Milan wakimfuatilia kwa karibu Phil Foden.
Kulenga miundombinu ya kiraia ni uhalifu wa kivita - Balozi wa Iran katika UN
Balozi huyo wa Iran pia alionya kwamba iwapo Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama havitachukua hatua madhubuti, "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki yake, kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ya kuchukua hatua zote zinazohitajika ili kulinda mamlaka yake.
Tovuti Rasmi ya Rais Ruto yadukuliwa
Katika taarifa fupi kwa chapisho hili siku ya Jumamosi, Julai 18, Ikulu ya Serikali ilithibitisha kuwa ilikuwa inajua kuhusu udukuzi huo na kusema timu yake ya TEHAMA ilikuwa ikishughulikia suala hilo.
Faida sita za swala kwa afya ya binadamu
Swala huongeza utulivu wa nafsi, hupunguza msongo wa mawazo, na husaidia kudhibiti upumuaji wakati wa ibada.
Tumelenga kituo cha Marekani na madaraja kadhaa nchini Bahrain - Iran
Taarifa hiyo pia ilidai kwamba madaraja kadhaa nchini Bahrain yalilengwa na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani.
Nani mkali kati ya Messi na Maradona?
Akiwa na umri wa miaka 39, mshambuliaji huyo mwenye jezi namba 10 bado ndiye jina kubwa katika timu ya taifa ya Argentina.
Nyambizi ya nyuklia iliyozama 1989, ni bomu linalosubiri kulipuka
Nyambizi hiyo ilikuwa moja ya kazi bora ya uhandisi wa Kisovieti, ilikuwa na umbo la kipekee na nguvu, ikiiruhusu kuzama mbali zaidi kuliko karibu chombo kingine chochote cha nchi za Magharibi.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Kwanini homoni ya testosterone ni kigezo cha kuwa mwanajeshi Marekani?
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, ametangaza kuwa jeshi la Marekani litafanya vipimo vya upungufu wa kichocheo cha testosterone kwa wanaume wenye umri wa miaka 30 na zaidi.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Jinsi Trump anavyohangaika kumaliza vita na Iran
Baada ya karibu mwezi mmoja wa mazungumzo ya kwenda na kurudi ya kusitisha mapigano, kati ya mataifa hayo mawili, yenye uhasama, Trump na Wamarekani wanaonekana kukabiliwa na changamoto zile zile zilizokuwepo kabla ya Vita na Iran.
Maajabu nane kuhusu papa
Leo hii papa wanapatikana katika karibu kila sehemu ya Bahari, na baada ya mamia ya mamilioni ya miaka, wamekuza sifa za kushangaza.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 20 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































