Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran yafanya msururu wa mashambulizi dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani
Milipuko ilisikika kote nchini Iran usiku kucha, muda mfupi baada ya nchi jirani za Ghuba kuanza kuripoti mashambulizi.
Kutoka vita hadi mazungumzo: Safari ngumu ya amani kati ya Wahouthi na Saudi Arabia
Wahouthi walitumia udhaifu wa serikali na msukosuko wa kisiasa kupanua ushawishi wao wa kijeshi na kisiasa kaskazini mwa Yemen. Hatimaye, walitwaa udhibiti wa mji mkuu, Sanaa, mwezi Septemba mwaka wa 2014.
'Hii ndiyo sababu yeye ni mfalme' – Messi alivyoiwezesha Argentina kufuzu fainali ya tatu ya Kombe la Dunia
Miaka minne iliyopita, ilionekana kana kwamba simulizi ya Lionel Messi ilikuwa imefikia mwisho.
Je, vitisho vya Trump vitaishinikiza Iran kurejea kwenye mazungumzo?
Mapigano mapya kati ya Marekani na Iran yamesababisha bei ya mafuta duniani kupanda kwa kasi, huku usafirishaji wa meli za kubeba mafuta kupitia Mlango Bahari wa Hormuz ukusimama kabisa.
Kombe la Dunia 2026: Kwa nini kipigo cha England kimezidisha maumivu ya kusubiri kwa miaka 60?
Miaka ya maumivu ya England sasa itaendelea zaidi ya miaka 60, lakini kuondolewa kwao mwishoni na kupoteza nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina huenda kukawa jeraha lenye maumivu makubwa zaidi kuliko yote.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Man Utd yamtupia jicho Summerville
Winga wa West Ham Crysencio Summerville, anawindwa na Manchester United. Arsenal wanajiandaa kuwasilisha ofa kwa winga wa Norway, Antonio Nusa, huku Everton wakifikiria kumsajili Rico Lewis wa Manchester City.
Iran yatishia kufunga njia zingine baharini, Marekani ikianzisha mashambulizi mapya
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kushambulia miundombinu ya Iran wiki ijayo nchi hiyo isiporejea katika mazungumzo.
Urusi yashambulia meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania na Liberia katika Bahari Nyeusi
Nahodha wa moja ya meli hizo aliuawa katika shambulio hilo.
Jeshi lenye nguvu zaidi barani Afrika lafichua mfumo wa siri wa makombora wa Urusi
Misri imeonyesha hadharani mfumo wake wa ulinzi wa anga wa S-300VM uliotengenezwa nchini Urusi kwa mara ya kwanza.
Jinsi uamuzi wa Dangote wa kuuza mafuta kwa kutumia dola utakavyokuathiri
Uamuzi wa Kampuni ya Mafuta ya Dangote kuanza kuuza mafuta kwa dola za Marekani badala ya naira umezua mjadala mkubwa miongoni mwa Wanigeria na wachumi, hasa kuhusu athari zake kwa wananchi wa kawaida.
WARIDI WA BBC: "Mwanamke kuwa na mali haipaswi kuonekana kama tishio"
Haika anasema mwanamke kuwa na mali zake binafsi pia kunaweza kuwa kinga kwa familia nzima, ikiwemo mwanaume.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mwanamume asimulia alivyonusurika shambulio la simba
Wanakijiji wanasema kuwa Kalubhai amelazwa katika hospitali kuu ya Sir Takhtsinhji mjini Bhavnagar, baada ya kupata majeraha mabaya.
'Kutoka kuwa watawa hadi wapenzi wa jinsia moja'
Sasa wanandoa wenye furaha, Francília na Luiza wamedumisha ari yao ya umisionari iliyowasukuma kuingia kwenye nyumba ya watawa ambako walikutana.
Mambo matano yanayoifanya Iran ya sasa kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali
Mazishi ya Khamenei ni ukumbusho mwingine wa mabadiliko yaliyoikumba Iran, lakini uongozi wake mpya unalenga nini?
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 17 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani