BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Iran yaishutumu Marekani kwa kushambulia miundombinu ya kiraia
Tehran inasema mashambulio ya Marekani yalilenga madaraja, huku Marekani ikidhibiti meli katika Mlango wa Bahari wa Hormuz.
Ni klabu zipi za Ligi Kuu zimeathiriwa zaidi na Kombe la Dunia?
Ingawa vilabu vilivyo katika ligi kuu ya Uingereza vimeanza maandalizi ya maandalizi ya msimu, vingi havina wachezaji muhimu ambao muda wao unaendelea kuongezeka nchini Marekani.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Kwanini homoni ya testosterone ni kigezo cha kuwa mwanajeshi Marekani?
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, ametangaza kuwa jeshi la Marekani litafanya vipimo vya upungufu wa kichocheo cha testosterone kwa wanaume wenye umri wa miaka 30 na zaidi.
Dhana potofu wanazouziwa wanaume wanaojaribu kuongeza idadi ya mbegu za kiume
Watalaam wanasema hii huenda ni kutokana na tiba ya kuongeza testosterone na pia kujali kuhusu sumu zinazopatikana katika mazingira yetu ya kila siku inayoweza kuathiri uwezo wa kuzalisha.
Kwa nini dunia inazidi kupendelea China kuliko Marekani?
Ingawa Marekani bado inaonekana kuheshimu uhuru wa mtu binafsi zaidi kuliko China, China inaonekana kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa kiwango cha chini ikilinganishwa na Marekani.
Kwa nini wanawake wengi huficha dalili za ukomo wa hedhi?
Wanawake wengi wanasema kuwa kuzungumzia ukomo wa hedhi bado kunachukuliwa kuwa mwiko katika jamii, jambo linalowafanya wahisi kushindwa kulizungumzia kwa uwazi.
Wanasayansi wagundua sukari katika anga za mbali
Ugunduzi huo unadokeza jinsi ambavyo chembechembe zinaweza kuwa muhimu kwa uelewa wetu wa asili ya molekuli hizi duniani na asiloi ya uhai katika sayari yetu.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Inter Milan wanasuka mipango kumsajili Spence
Inter Milan wanafanyia kazi dili za Djed Spence na Cristian Romero, Liverpool wanaongoza mbio za kumsajili Kaishu Sano, huku Arsenal wakimwania Ezri Konsa.
Kutoka vita hadi mazungumzo: Safari ngumu ya amani kati ya Wahouthi na Saudi Arabia
Wahouthi walitumia udhaifu wa serikali na msukosuko wa kisiasa kupanua ushawishi wao wa kijeshi na kisiasa kaskazini mwa Yemen. Hatimaye, walitwaa udhibiti wa mji mkuu, Sanaa, mwezi Septemba mwaka wa 2014.
'Hii ndiyo sababu yeye ni mfalme' – Messi alivyoiwezesha Argentina kufuzu fainali ya tatu ya Kombe la Dunia
Miaka minne iliyopita, ilionekana kana kwamba simulizi ya Lionel Messi ilikuwa imefikia mwisho.
Je, vitisho vya Trump vitaishinikiza Iran kurejea kwenye mazungumzo?
Mapigano mapya kati ya Marekani na Iran yamesababisha bei ya mafuta duniani kupanda kwa kasi, huku usafirishaji wa meli za kubeba mafuta kupitia Mlango Bahari wa Hormuz ukusimama kabisa.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Mama mkatili: "Alinilazimisha kuishi kama mgonjwa kwa miaka mingi"
Mama yake alikuwa karibu naye kila wakati, na kila alipomwona Nina akitabasamu, alikasirika na kumwadhibu.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mwanamume asimulia alivyonusurika shambulio la simba
Wanakijiji wanasema kuwa Kalubhai amelazwa katika hospitali kuu ya Sir Takhtsinhji mjini Bhavnagar, baada ya kupata majeraha mabaya.
'Kutoka kuwa watawa hadi wapenzi wa jinsia moja'
Sasa wanandoa wenye furaha, Francília na Luiza wamedumisha ari yao ya umisionari iliyowasukuma kuingia kwenye nyumba ya watawa ambako walikutana.
Mambo matano yanayoifanya Iran ya sasa kuwa tofauti kabisa na ilivyokuwa awali
Mazishi ya Khamenei ni ukumbusho mwingine wa mabadiliko yaliyoikumba Iran, lakini uongozi wake mpya unalenga nini?
Jinsi uamuzi wa Dangote wa kuuza mafuta kwa kutumia dola utakavyokuathiri
Uamuzi wa Kampuni ya Mafuta ya Dangote kuanza kuuza mafuta kwa dola za Marekani badala ya naira umezua mjadala mkubwa miongoni mwa Wanigeria na wachumi, hasa kuhusu athari zake kwa wananchi wa kawaida.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































